1 Chronicles 1:10 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kushi alimzaa Nimrodi, aliyekuwa mtu shujaa wa kwanza duniani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua shujaa mwenye nguvu duniani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kushi naye akamzaa Nimrodi; yeye akaanza kuwa mtu hodari katika nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kushi alimzaa Nimrodi, aliyekuwa mtu shujaa wa kwanza duniani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kushi alimzaa Nimrodi aliyekuwa mtu shujaa katika nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa katika nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kushi naye akamzaa Nimrodi; yeye akaanza kuwa mtu hodari katika nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kushi alimzaa Nimrodi, aliyekuwa mtu shujaa wa kwanza duniani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Kusi akamzaa Nimurodi; ndiye aliyeanza kuwa mwenye nguvu katika nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kushi naye akamzaa Nimrodi; yeye akaanza kuwa mtu hodari katika nchi.