1 Chronicles 1:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana wa Shemu walikuwa Elamu, Ashuri, Arpaksadi, Ludi, Aramu, Usi, Huli, Getheri na Mesheki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Shemu walikuwa: Elamu, Ashuru, Arfaksadi, Ludi na Aramu. Wana wa Aramu walikuwa: Usi, Huli, Getheri na Mashi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Shemu; Elamu, na Ashuru, na Arfaksadi, na Ludi, na Aramu, na Usi, na Huli, na Getheri, na Mashi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana wa Shemu walikuwa Elamu, Ashuri, Arpaksadi, Ludi, Aramu, Usi, Huli, Getheri na Mesheki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Shemu walikuwa: Elamu, Ashuri, Arfaksadi, Ludi na Aramu. Wana wa Aramu walikuwa: Usi, Huli, Getheri na Mesheki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Shemu walikuwa: Elamu, Ashuru, Arfaksadi, Ludi na Aramu. Wana wa Aramu walikuwa: Usi, Huli, Getheri na Mesheki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Shemu; Elamu, na Ashuru, na Arfaksadi, na Ludi, na Aramu, na Usi, na Huli, na Getheri, na Mashi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana wa Shemu walikuwa Elamu, Ashuri, Arpaksadi, Ludi, Aramu, Usi, Huli, Getheri na Mesheki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Semu: Elamu na Asuri na Arpakisadi na Ludi na Aramu na Usi na Huli na Geteri na Meseki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Shemu; Elamu, na Ashuru, na Arfaksadi, na Ludi, na Aramu, na Usi, na Huli, na Getheri, na Mashi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Semu walikuwa: Elamu, Asuri, Arpakisadi, Ludi, Aramu, Usi, Huli, Geteri na Meseki.