1 Chronicles 1:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Eberi alikuwa na wana wawili; mmoja wao aliitwa Pelegi, (kwa maana wakati wake watu walikuwa wametawanyika duniani), na ndugu yake aliitwa Yoktani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Eberi alipata wana wawili: Mmoja wao aliitwa Pelegi, kwa kuwa wakati wake dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Eberi akazaliwa wana wawili wa kiume; jina la wa kwanza aliitwa Pelegi, maana katika siku zake nchi iligawanyika; na jina la nduguye aliitwa Yoktani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Eberi alikuwa na wana wawili; mmoja wao aliitwa Pelegi, (kwa maana wakati wake watu walikuwa wametawanyika duniani), na ndugu yake aliitwa Yoktani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Eberi alikuwa na wana wawili: Mmoja wao aliitwa Pelegi kwa sababu ni katika wakati wake dunia iligawanyika, ndugu yake aliitwa Yoktani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Eberi alipata wana wawili: Mmoja wao aliitwa Pelegi, kwa kuwa wakati wake dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Eberi akazaliwa wana wawili wa kiume; jina la wa kwanza aliitwa Pelegi, maana katika siku zake nchi iligawanyika; na jina la nduguye aliitwa Yoktani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Eberi alikuwa na wana wawili; mmoja wao aliitwa Pelegi, (kwa maana wakati wake watu walikuwa wametawanyika duniani), na ndugu yake aliitwa Yoktani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Eberi akazaliwa wana wawili: jina lake wa kwanza ni Pelegi (Gawanyiko), kwa kuwa siku zake ndipo, nchi hii ilipogawanyika; nalo jina la nduguye ni Yokitani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Eberi akazaliwa wana wawili wa kiume; jina la wa kwanza aliitwa Pelegi, maana katika siku zake nchi iligawanyika; na jina la nduguye aliitwa Yoktani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Eberi alikuwa na wana wawili: mumoja wao aliitwa Pelegi, ni kusema “Matengano”, kwa maana wakati wake watu walikuwa wametawanyika katika dunia, na ndugu yake aliitwa Yokitani.