1 Chronicles 1:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukoo wa Abrahamu kutokea Shemu ni kama ifuatavyo: Shemu alimzaa Arpaksadi, naye Arpaksadi akamzaa Shela.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Shemu walikuwa Arfaksadi, Shela,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Shemu, na Arfaksadi, na Sala;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukoo wa Abrahamu kutokea Shemu ni kama ifuatavyo: Shemu alimzaa Arpaksadi, naye Arpaksadi akamzaa Shela.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Shemu walikuwa Arfaksadi, Shela,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Shemu walikuwa Arfaksadi, Shela,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Shemu, na Arfaksadi, na Sala;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukoo wa Abrahamu kutokea Shemu ni kama ifuatavyo: Shemu alimzaa Arpaksadi, naye Arpaksadi akamzaa Shela.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Semu, Arpakisadi, Sela,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Shemu, na Arfaksadi, na Sala;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Semu alikuwa baba ya Arpakisadi, Arpakisadi baba ya Sela, Sela baba ya Eberi, Eberi baba ya Pelegi, Pelegi baba ya Reu, Reu baba ya Serugi, Serugi baba ya Nahori, Nahori baba ya Tera, Tera baba ya Abramu, ambaye ndiye Abrahamu.