1 Chronicles 1:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abrahamu alikuwa na watoto wawili wa kiume: Isaka na Ishmaeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ibrahimu alikuwa na wana wawili: Isaka na Ishmaeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Ibrahimu; Isaka, na Ishmaeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abrahamu alikuwa na watoto wawili wa kiume: Isaka na Ishmaeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abrahamu alikuwa na wana wawili: Isaki na Ishmaeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ibrahimu alikuwa na wana wawili: Isaka na Ishmaeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Abrahamu; Isaka, na Ishmaeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abrahamu alikuwa na watoto wawili wa kiume: Isaka na Ishmaeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Aburahamu ni Isaka na Isimaeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Ibrahimu; Isaka, na Ishmaeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abrahamu alikuwa na wana wawili: Isaka na Isimaeli. Isimaeli alikuwa baba ya: