1 Chronicles 1:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivi ndivyo vizazi vyao: Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli alikuwa Nebayothi na wengine ni Kedari, Adbeeli, Mibsamu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa ndio wazao wao: Ishmaeli akazaa Nebayothi mzaliwa wa kwanza; kisha Kedari, Adbeeli, Mibsamu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivi ndivyo vizazi vyao; mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, Nebayothi; kisha Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivi ndivyo vizazi vyao: mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli alikuwa Nebayothi na wengine ni Kedari, Adbeeli, Mibsamu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa ndio waliokuwa wazao wa Hagari: Nebayothi mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, Kedari, Adbeeli, Mibsamu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa ndio waliokuwa wazao wa Hagari: Nebayothi mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, Kedari, Adbeeli, Mibsamu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivi ndivyo vizazi vyao; mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, Nebayothi; kisha Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivi ndivyo vizazi vyao: Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli alikuwa Nebayothi na wengine ni Kedari, Adbeeli, Mibsamu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Navyo vizazi vyao ni hivi: Mwanawe wa kwanza wa Isimaeli ni Nebayoti, tena Kedari na Adibeli na Mibusamu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivi ndivyo vizazi vyao; mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, Nebayothi; kisha Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nebayoti, ndiye muzaliwa wake wa kwanza, Kedari, Abudeli, Mibusami,