1 Chronicles 1:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abrahamu alikuwa na suria aliyeitwa Ketura. Ketura alimzalia Abrahamu: Zimrani, Yokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua. Wana wa Yokshani walikuwa Sheba na Dedani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana waliozaliwa na Ketura suria wa Ibrahimu walikuwa: Zimrani, Yokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua. Wana wa Yokshani walikuwa: Sheba na Dedani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Ketura, suria yake Ibrahimu; yeye akamzaa Zimrani, na Yokshani, na Medani, na Midiani, na Ishbaki, na Shua. Na wana wa Yokshani; Sheba na Dedani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abrahamu alikuwa na suria aliyeitwa Ketura. Ketura alimzalia Abrahamu: Zimrani, Yokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua. Wana wa Yokshani walikuwa Sheba na Dedani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana waliozaliwa na Ketura suria wa Abrahamu walikuwa: Zimrani, Yokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua. Wana wa Yokshani walikuwa: Sheba na Dedani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana waliozaliwa na Ketura suria wa Ibrahimu walikuwa: Zimrani, Yokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua. Wana wa Yokshani walikuwa: Sheba na Dedani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Ketura, suria yake Abrahamu; yeye akamzaa Zimrani, na Yokshani, na Medani, na Midiani, na Ishbaki, na Shua. Na wana wa Yokshani; Sheba na Dedani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abrahamu alikuwa na suria aliyeitwa Ketura. Ketura alimzalia Abrahamu: Zimrani, Yokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua. Wana wa Yokshani walikuwa Sheba na Dedani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Ketura, suria yake Aburahamu, ni hawa: Akamzaa Zimurani na Yokisani na Medani na Midiani na Isibaki na Sua. Nao wana wa Yokisani ni Saba na Dedani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Ketura, suria yake Ibrahimu; yeye akamzaa Zimrani, na Yokshani, na Medani, na Midiani, na Ishbaki, na Shua. Na wana wa Yokshani; Sheba na Dedani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abrahamu alikuwa na habara aliyeitwa Ketura. Ketura alimuzalia Abrahamu: Simurani, Yokisanu, Medani, Midiani, Isibaki na Sua. Wana wa Yokisanu walikuwa: Seba na Dedani.