1 Chronicles 1:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Isaka, mwana wa Abrahamu, alikuwa na wana wawili: Esau na Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ibrahimu alikuwa baba wa Isaka. Wana wa Isaka walikuwa: Esau na Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Ibrahimu naye akamzaa Isaka. Wana wa Isaka; Esau, na Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Isaka, mwana wa Abrahamu, alikuwa na wana wawili: Esau na Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abrahamu alikuwa baba wa Isaki. Wana wa Isaki walikuwa: Esau na Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ibrahimu alikuwa baba wa Isaka. Wana wa Isaka walikuwa: Esau na Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Abrahamu naye akamzaa Isaka. Wana wa Isaka; Esau, na Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Isaka, mwana wa Abrahamu, alikuwa na wana wawili: Esau na Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Aburahamu akamzaa Isaka; nao wana wa Isaka ni Esau na Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Ibrahimu naye akamzaa Isaka. Wana wa Isaka; Esau, na Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Isaka, mwana wa Abrahamu, alikuwa na wana wawili: Esau na Israeli.