1 Chronicles 1:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana wa Elifazi walikuwa Temani, Omari, Sefo, Gatamu, Kenazi, Timna na Amaleki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Elifazi walikuwa: Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi; Elifazi kwa Timna akamzaa Amaleki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Elifazi; Temani, na Omari, na Sefo, na Gatamu, na Kenazi, na, kwa Timna, Amaleki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana wa Elifazi walikuwa Temani, Omari, Sefo, Gatamu, Kenazi, Timna na Amaleki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Elifazi walikuwa: Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi; Elifazi kwa Timna akamzaa Amaleki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Elifazi walikuwa: Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi; Elifazi kwa Timna akamzaa Amaleki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Elifazi; Temani, na Omari, na Sefo, na Gatamu, na Kenazi, na, kwa Timna, Amaleki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana wa Elifazi walikuwa Temani, Omari, Sefo, Gatamu, Kenazi, Timna na Amaleki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Elifazi: Temani na Omari na Sefi na Gatamu, Kenazi na Timuna na Amaleki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Elifazi; Temani, na Omari, na Sefo, na Gatamu, na Kenazi, na, kwa Timna, Amaleki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Elifasi walikuwa: Temani, Omari, Zefi, Gatamu, Kenasi, Timuna na Amaleki.