1 Chronicles 1:40 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana wa Shobali walikuwa Alvani, Manahathi, Ebali, Shefi na Onamu. Wana wa Sibeoni walikuwa Aya na Ana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Shobali walikuwa: Alvani, Manahathi, Ebali, Shefo na Onamu. Wana wa Sibeoni walikuwa: Aya na Ana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Shobali; Alvani, na Manahathi, na Ebali, na Shefo, na Onamu. Na wana wa Sibeoni; Aya, na Ana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana wa Shobali walikuwa Alvani, Manahathi, Ebali, Shefi na Onamu. Wana wa Sibeoni walikuwa Aya na Ana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Shobali walikuwa: Alvani, Manahathi, Ebali, Shefo na Onamu. Wana wa Sibeoni walikuwa: Aya na Ana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Shobali walikuwa: Alvani, Manahathi, Ebali, Shefo na Onamu. Wana wa Sibeoni walikuwa: Aiya na Ana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Shobali; Alvani, na Manahathi, na Ebali, na Shefo, na Onamu. Na wana wa Sibeoni; Aya, na Ana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana wa Shobali walikuwa Alvani, Manahathi, Ebali, Shefi na Onamu. Wana wa Sibeoni walikuwa Aya na Ana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Sobali: Aliani na Manahati na Ebali, Sefi na Onamu. Nao wana wa Siboni ni Aya na Ana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Shobali; Alvani, na Manahathi, na Ebali, na Shefo, na Onamu. Na wana wa Sibeoni; Aya, na Ana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Sobali walikuwa: Aliani, Manahati, Ebali, Sefi na Onamu. Wana wa Sibeoni walikuwa: Aya na Ana.