1 Chronicles 1:41 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwana wa Ana alikuwa Dishoni; na wana wa Dishoni walikuwa Hamrani, Eshbani, Ithrani na Kerani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwana wa Ana alikuwa: Dishoni. Nao wana wa Dishoni walikuwa: Hemdani, Eshbani, Ithrani na Kerani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Ana; Dishoni. Na wana wa Dishoni; Hemdani, na Eshbani, na Ithrani, na Kerani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwana wa Ana alikuwa Dishoni; na wana wa Dishoni walikuwa Hamrani, Eshbani, Ithrani na Kerani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwana wa Ana alikuwa: Dishani. Nao wana wa Dishani walikuwa: Hemdani, Eshbani, Ithrani na Kerani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwana wa Ana alikuwa: Dishoni. Nao wana wa Dishoni walikuwa: Hemdani, Eshbani, Ithrani na Kerani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Ana; Dishoni. Na wana wa Dishoni; Hemdani, na Eshbani, na Ithrani, na Kerani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwana wa Ana alikuwa Dishoni; na wana wa Dishoni walikuwa Hamrani, Eshbani, Ithrani na Kerani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana na Ana: Disoni, nao wana wa Disoni: Hamurani na Esibani na Itirani na kerani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Ana; Dishoni. Na wana wa Dishoni; Hemdani, na Eshbani, na Ithrani, na Kerani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwana wa Ana alikuwa: Disoni. Wana wa Disoni walikuwa: Hamurani, Esibani, Itirani na Kerani.