1 Chronicles 1:42 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana wa Eseri walikuwa Bilhani, Zaawani na Akani; na wana wa Dishoni walikuwa Usi na Arani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Eseri walikuwa: Bilhani, Zaavani na Akani. Wana wa Dishani walikuwa: Usi na Arani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Eseri; Bilhani, na Zaawani, na Akani. Wana wa Dishani; Usi, na Arani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana wa Eseri walikuwa Bilhani, Zaawani na Akani; na wana wa Dishoni walikuwa Usi na Arani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Eseri walikuwa: Bilhani, Zaavani na Akani. Wana wa Dishani walikuwa: Usi na Arani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Eseri walikuwa: Bilhani, Zaavani na Akani. Wana wa Dishani walikuwa: Usi na Arani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Eseri; Bilhani, na Zaawani, na Akani. Wana wa Dishani; Usi, na Arani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana wa Eseri walikuwa Bilhani, Zaawani na Akani; na wana wa Dishoni walikuwa Usi na Arani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Eseri: Bilihani na Zawani na Yakani. Wana wa Disoni: Usi na Arani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Eseri; Bilhani, na Zaawani, na Akani. Wana wa Dishani; Usi, na Arani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Ezeri walikuwa: Bilihani, Zawani na Yakani. Wana wa Disoni walikuwa: Usi na Arani.