1 Chronicles 1:45 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yobabu alipofariki, Hushamu wa nchi ya Watemi alitawala badala yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yobabu alipofariki, Hushamu kutoka nchi ya Watemani akawa mfalme baada yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yobabu akafa, naye Hushamu, wa nchi ya Watemani, akamiliki badala yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yobabu alipofariki, Hushamu wa nchi ya Watemi alitawala badala yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yobabu alipofariki, Hushamu kutoka nchi ya Watemani akaingia mahali pake kuwa mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yobabu alipofariki, Hushamu kutoka nchi ya Watemani akawa mfalme baada yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yobabu akafa, naye Hushamu, wa nchi ya Watemani, akatawala badala yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yobabu alipofariki, Hushamu wa nchi ya Watemi alitawala badala yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yobabu alipokufa, Husamu wa nchi ya Watemani akawa mfalme mahali pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yobabu akafa, naye Hushamu, wa nchi ya Watemani, akamiliki badala yake.