1 Chronicles 1:46 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi alitawala badala yake, makao yake makuu yakiwa katika mji wa Avithi. Huyu ndiye aliyewapiga na kuwashinda Wamidiani katika nchi ya Moabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi, aliyeshinda Midiani katika nchi ya Moabu, akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Avithi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hushamu akafa, naye Hadadi, mwana wa Bedadi, akamiliki badala yake, ambaye aliwapiga Midiani katika uwanja wa Moabu; na jina la mji wake ni Avithi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi alitawala badala yake, makao yake makuu yakiwa katika mji wa Avithi. Huyu ndiye aliyewapiga na kuwashinda Wamidiani katika nchi ya Moabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi, aliyeshinda Midiani katika nchi ya Moabu, akaingia mahali pake kuwa mfalme, mji wake uliitwa Avithi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi, aliyeshinda Midiani katika nchi ya Moabu, akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Avithi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hushamu akafa, naye Hadadi, mwana wa Bedadi, akatawala badala yake, ambaye aliwapiga Midiani katika uwanja wa Moabu; na jina la mji wake ni Avithi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi alitawala badala yake, makao yake makuu yakiwa katika mji wa Avithi. Huyu ndiye aliyewapiga na kuwashinda Wamidiani katika nchi ya Moabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Husamu alipokufa, Hadadi, mwana wa Bedadi aliyewapiga Wamidiani katika mbuga za Wamoabu, akawa mfalme mahali pake; nalo jina la mji wake ni Awiti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)