1 Chronicles 1:47 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka alitawala badala yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka akawa mfalme baada yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hadadi akafa, naye Samla, wa Masreka, akamiliki badala yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka alitawala badala yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka akaingia mahali pake kuwa mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka akawa mfalme baada yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hadadi akafa, naye Samla, wa Masreka, akatawala badala yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka alitawala badala yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hadadi alipokufa, Samula aliyetoka Masireka akawa mfalme mahali pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hadadi akafa, naye Samla, wa Masreka, akamiliki badala yake.