1 Chronicles 1:48 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ulio karibu na mto Eufrate, alitawala badala yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ng’ambo ya Mto Frati, akawa mfalme baada yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Samla akafa, naye Shauli, wa Rehobothi karibu na Mto, akamiliki badala yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ulio karibu na mto Eufrate, alitawala badala yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ulio karibu na Mto Eufrati, akaingia mahali pake kuwa mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ng’ambo ya Mto Frati, akawa mfalme baada yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Samla akafa, naye Shauli, wa Rehobothi karibu na Mto, akatawala badala yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ulio karibu na mto Eufrate, alitawala badala yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Samula alipokufa, Sauli aliyetoka Rehoboti wa Mtoni akawa mfalme mahali pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Samla akafa, naye Shauli, wa Rehobothi karibu na Mto, akamiliki badala yake.