1 Chronicles 1:49 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shauli alipofariki, Baal-hanani mwana wa Akbori alitawala badala yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Shauli alipofariki, Baal-Hanani mwana wa Akbori akawa mfalme baada yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Shauli akafa, naye Baal-Hanani, mwana wa Akbori, akamiliki badala yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shauli alipofariki, Baal-hanani mwana wa Akbori alitawala badala yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Shauli alipofariki, Baal-Hanani mwana wa Akbori akaingia mahali pake kuwa mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Shauli alipofariki, Baal-Hanani mwana wa Akbori akawa mfalme baada yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Shauli akafa, naye Baal-Hanani, mwana wa Akbori, akatawala badala yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shauli alipofariki, Baal-hanani mwana wa Akbori alitawala badala yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauli alipokufa, Baali-Hanani, mwana wa Akibori, akawa mfalme mahali pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Shauli akafa, naye Baal-Hanani, mwana wa Akbori, akamiliki badala yake.