1 Chronicles 1:50 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baal-hanani alipofariki, Hadadi kutoka Pai alitawala badala yake na jina la mkewe Akbori lilikuwa Mehetabeli, binti Matredi, binti Mezahabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baal-Hanani alipofariki, Hadadi akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Pau, na mkewe aliitwa Mehetabeli binti Matredi, binti Me-Zahabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baal-Hanani akafa, naye Hadadi akamiliki badala yake; na jina la mji wake ni Pau; na jina la mkewe ni Mehetabeli, binti Matredi, binti Mezahabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baal-hanani alipofariki, Hadadi kutoka Pai alitawala badala yake na jina la mkewe Akbori lilikuwa Mehetabeli, binti Matredi, binti Mezahabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baal-Hanani alipofariki, Hadadi akaingia mahali pake kuwa mfalme. Mji wake uliitwa Pau, na mkewe aliitwa Mehetabeli binti Matredi, binti Me-Zahabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baal-Hanani alipofariki, Hadadi akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Pau, na mkewe aliitwa Mehetabeli binti Matredi, binti Me-Zahabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baal-Hanani akafa, naye Hadadi akatawala badala yake; na jina la mji wake ni Pau; na jina la mkewe ni Mehetabeli, binti Matredi, binti Mezahabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baal-hanani alipofariki, Hadadi kutoka Pai alitawala badala yake na jina la mkewe Akbori lilikuwa Mehetabeli, binti Matredi, binti Mezahabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baali-Hanani alipokufa, Hadadi akawa mfalme mahali pake, nalo jina la mji wake ni Pai; nalo jina la mkewe ni Mehetabeli, binti Matiredi, binti Mezahabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baal-Hanani akafa, naye Hadadi akamiliki badala yake; na jina la mji wake ni Pau; na jina la mkewe ni Mehetabeli, binti Matredi, binti Mezahabu.