1 Chronicles 1:51 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Hadadi akafariki. Wakuu wa makabila ya Edomu walikuwa Timna, Alva, Yethethi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye Hadadi pia akafa. Wakuu wa Edomu walikuwa: Timna, Alva, Yethethi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafa Hadadi. Na hawa ndio majumbe wa Edomu; jumbe Timna, na jumbe Alva, na jumbe Yethethi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Hadadi akafariki. Wakuu wa makabila ya Edomu walikuwa Timna, Alva, Yethethi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye Hadadi pia akafa. Wakuu wa Edomu walikuwa: Timna, Alva, Yethethi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye Hadadi pia akafa. Wakuu wa Edomu walikuwa: Timna, Alva, Yethethi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafa Hadadi. Na hawa ndio majumbe wa Edomu; jumbe Timna, na jumbe Alva, na jumbe Yethethi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Hadadi akafariki. Wakuu wa makabila ya Edomu walikuwa Timna, Alva, Yethethi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hadadi alipokufa, wakawa majumbe wa Edomu jumbe Timuna, jumbe Alia, jumbe Yeteti,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafa Hadadi. Na hawa ndio majumbe wa Edomu; jumbe Timna, na jumbe Alva, na jumbe Yethethi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya kifo cha Hadadi, inchi ya Edomu ilitawaliwa na wakubwa hawa: Timuna, Aiya, Yeteti, Oholibama, Ela, Pinoni, Kenasi, Temani, Mibusari, Magdieli na Irama.