1 Chronicles 1:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana wa Hamu walikuwa Kushi, Misri, Puti na Kanaani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Hamu walikuwa: Kushi, Misri, Putu na Kanaani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Hamu; Kushi, na Misri, na Putu, na Kanaani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana wa Hamu walikuwa Kushi, Misri, Puti na Kanaani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Hamu walikuwa: Kushi, Misraimu, Putu na Kanaani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Hamu walikuwa: Kushi, Misraimu, Putu na Kanaani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Hamu; Kushi, na Misri, na Putu, na Kanaani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana wa Hamu walikuwa Kushi, Misri, Puti na Kanaani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Hamu: Kusi na Misri, Puti na Kanaani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Hamu; Kushi, na Misri, na Putu, na Kanaani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Hamu walikuwa baba za watu walioishi katika inchi ya Etiopia, Misri, Puti na Kanana. Wana wa Etiopia walikuwa: Seba, Havila, Sabuta, Rama na Sabuteka. Etiopia alizaa vilevile Nimurodi, aliyekuwa mutu shujaa wa kwanza katika dunia. Wana wa Rama walikuwa: Seba na Dedani.