1 Chronicles 10:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini watu wa Yabesh-gileadi waliposikia yote Wafilisti waliyomtendea Shauli,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakazi wote wa Yabesh-Gileadi waliposikia yale Wafilisti waliyomtendea Sauli,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na watu wote wa Yabesh-gileadi waliposikia hayo yote Wafilisti waliyomtenda Sauli,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini watu wa Yabesh-gileadi waliposikia yote Wafilisti waliyomtendea Shauli,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakazi wote wa Yabeshi-Gileadi waliposikia hayo yote Wafilisti waliyomtendea Sauli,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakazi wote wa Yabeshi-Gileadi waliposikia yote Wafilisti waliyomtendea Sauli,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na watu wote wa Yabesh-gileadi waliposikia hayo yote Wafilisti waliyomtenda Sauli,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini watu wa Yabesh-gileadi waliposikia yote Wafilisti waliyomtendea Shauli,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wote wa Yabesi wa Gileadi walipoyasikia yote, Wafilisti waliyomfanyizia Sauli,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na watu wote wa Yabesh-gileadi waliposikia hayo yote Wafilisti waliyomtenda Sauli,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini watu wa Yebesi Gileadi waliposikia yote Wafilistini waliyomutendea Saulo,