1 Chronicles 10:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
badala ya kumwendea Mwenyezi-Mungu ili kumtaka shauri. Kwa sababu hiyo Mwenyezi-Mungu akamuua, na ufalme wake akampa Daudi mwana wa Yese.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hakumuuliza Mwenyezi Mungu. Kwa hiyo Mwenyezi Mungu alimuua, na ufalme akampa Daudi mwana wa Yese.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
asiulize kwa Bwana; kwa hiyo akamwua, na ufalme akamgeuzia Daudi, mwana wa Yese.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
badala ya kumwendea Mwenyezi-Mungu ili kumtaka shauri. Kwa sababu hiyo Mwenyezi-Mungu akamuua, na ufalme wake akampa Daudi mwana wa Yese.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hakumwuliza BWANA. Kwa hiyo BWANA alimwua, na ufalme akampa Daudi mwana wa Yese.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hakumuuliza bwana. Kwa hiyo bwana alimuua, na ufalme akampa Daudi mwana wa Yese.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
asiulize kwa BWANA; kwa hiyo akamwua, na ufalme akampa Daudi, mwana wa Yese.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
badala ya kumwendea Mwenyezi-Mungu ili kumtaka shauri. Kwa sababu hiyo Mwenyezi-Mungu akamuua, na ufalme wake akampa Daudi mwana wa Yese.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa hakutaka kuongozwa na Bwana, akamwua, nao ufalme akauondoa kwake, akampa Dawidi, mwana wa Isai.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
asiulize kwa BWANA; kwa hiyo akamwua, na ufalme akamgeuzia Daudi, mwana wa Yese.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
pahali pa kumwendea Yawe kwa kumwomba shauri. Kwa sababu hiyo Yawe akamwua, na akamupa Daudi mwana wa Yese ufalme wake.