1 Chronicles 10:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu yule aliyembebea silaha alipoona kuwa Shauli amekufa, naye pia akauangukia upanga wake, akafa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mbeba silaha wake alipoona kwamba Sauli amekufa, naye pia akauangukia upanga wake akafa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mchukua silaha zake alipoona ya kuwa Sauli amekufa, yeye naye akauangukia upanga wake, akafa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu yule aliyembebea silaha alipoona kuwa Shauli amekufa, naye pia akauangukia upanga wake, akafa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mbeba silaha wake alipoona kwamba Sauli amekufa, naye pia akauangukia upanga wake akafa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mbeba silaha wake alipoona kwamba Sauli amekufa, naye pia akauangukia upanga wake akafa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mchukua silaha zake alipoona ya kuwa Sauli amekufa, yeye naye akauangukia upanga wake, akafa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu yule aliyembebea silaha alipoona kuwa Shauli amekufa, naye pia akauangukia upanga wake, akafa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mchukua mata yake alipoona, ya kuwa Sauli amekufa, naye akauangukia upanga wake, akafa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mchukua silaha zake alipoona ya kuwa Sauli amekufa, yeye naye akauangukia upanga wake, akafa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati yule aliyemubebea silaha alipoona kwamba Saulo amekufa, naye vilevile akauangukia upanga wake, akakufa.