1 Chronicles 10:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo ndivyo Shauli alivyokufa, yeye na wanawe watatu, na jamaa yake yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Sauli na wanawe watatu wakafa, pamoja na nyumba yake yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo Sauli akafa, na wanawe watatu; na nyumba yake yote wakafa pamoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo ndivyo Shauli alivyokufa, yeye na wanawe watatu, na jamaa yake yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Sauli na wanawe watatu wakafa, pamoja na nyumba yake yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Sauli na wanawe watatu wakafa, pamoja na nyumba yake yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivyo Sauli akafa, na wanawe watatu; na nyumba yake yote wakafa pamoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo ndivyo Shauli alivyokufa, yeye na wanawe watatu, na jamaa yake yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, Sauli alivyokufa na wanawe watatu, nao wa mlango wake wote wakafa pamoja naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivyo Sauli akafa, na wanawe watatu; na nyumba yake yote wakafa pamoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi ndivyo Saulo alivyokufa, yeye na wana wake watatu, na jamaa yake yote.