1 Chronicles 10:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walimvua mavazi, wakachukua kichwa chake pamoja na silaha zake, halafu walituma wajumbe katika nchi yote ya Filistia kutangaza habari njema kwa sanamu zao na watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamvua mavazi, wakachukua kichwa chake pamoja na silaha zake, wakawatuma wajumbe katika nchi yote ya Wafilisti kutangaza habari hizi miongoni mwa sanamu zao na watu wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamvua mavazi, wakamtwalia kichwa, na silaha zake, kisha wakapeleka wajumbe kwenda nchi ya Wafilisti pande zote, ili kutangaza habari kwa sanamu zao, na kwa watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walimvua mavazi, wakachukua kichwa chake pamoja na silaha zake, halafu walituma wajumbe katika nchi yote ya Filistia kutangaza habari njema kwa sanamu zao na watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamvua mavazi, wakachukua kichwa chake pamoja na silaha zake, wakawatuma wajumbe katika nchi yote ya Wafilisti kutangaza habari hizi miongoni mwa sanamu zao na watu wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamvua mavazi, wakachukua kichwa chake pamoja na silaha zake, wakawatuma wajumbe katika nchi yote ya Wafilisti kutangaza habari hizi miongoni mwa sanamu zao na watu wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamvua mavazi, wakatwaa kichwa chake, na silaha zake, kisha wakatuma wajumbe kwenda nchi ya Wafilisti pande zote, ili kutangaza habari kwa sanamu zao, na kwa watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walimvua mavazi, wakachukua kichwa chake pamoja na silaha zake, halafu walituma wajumbe katika nchi yote ya Filistia kutangaza habari njema kwa sanamu zao na watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakampambua, wakakichukua kichwa chake na mata yake, wakatuma wajumbe kwenda po pote katika nchi ya Wafilisti kuyatangaza penye vinyago vyao, hata kwa watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamvua mavazi, wakamtwalia kichwa, na silaha zake, kisha wakapeleka wajumbe kwenda nchi ya Wafilisti pande zote, ili kutangaza habari kwa sanamu zao, na kwa watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakamvua nguo, wakatwaa kichwa chake pamoja na silaha zake, halafu wakatuma wajumbe katika inchi yote ya Filistia kutangaza habari kwa sanamu zao na watu.