1 Chronicles 11:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Waisraeli wote walikusanyika pamoja kwa Daudi huko Hebroni, wakamwambia: “Tazama, sisi ni mwili na damu yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waisraeli wote walimjia Daudi kwa pamoja huko Hebroni, wakamwambia, “Sisi ni mwili wako na damu yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Israeli wote wakamkusanyikia Daudi huko Hebroni, wakisema, Tazama, sisi tu mfupa wako na nyama yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Waisraeli wote walikusanyika pamoja kwa Daudi huko Hebroni, wakamwambia: “Tazama, sisi ni mwili na damu yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Israeli yote walimjia Daudi kwa pamoja huko Hebroni wakamwambia, “Sisi ni nyama yako na damu yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Israeli yote walimjia Daudi kwa pamoja huko Hebroni wakamwambia, “Sisi ni nyama yako na damu yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Israeli wote wakamkusanyikia Daudi huko Hebroni, wakisema, Tazama, sisi tu mfupa wako na nyama yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Waisraeli wote walikusanyika pamoja kwa Daudi huko Hebroni, wakamwambia: “Tazama, sisi ni mwili na damu yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waisiraeli wote wakamkusanyikia Dawidi huko Heburoni kumwambia: Tazama, sisi na wewe tu mifupa ya mmoja, nazo nyama za miili yetu ni za mmoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Israeli wote wakamkusanyikia Daudi huko Hebroni, wakisema, Tazama, sisi tu mfupa wako na nyama yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Waisraeli wote walikusanyika mbele ya Daudi kule Hebroni, wakamwambia: “Sisi ni mwili na damu yako.