1 Chronicles 11:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu aliyefuata miongoni mwa wale mashujaa watatu alikuwa Eleazari mwana wa Dodo, Mwahohi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliyefuata alikuwa Eleazari, mwana wa Dodai Mwahohi, mmoja wa wale mashujaa watatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na baada yake kulikuwa na Eleazari, mwana wa Dodai, Mwahohi, mmojawapo wa wale mashujaa watatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu aliyefuata miongoni mwa wale mashujaa watatu alikuwa Eleazari mwana wa Dodo, Mwahohi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliyefuata alikuwa Eleazari, mwana wa Dodai, Mwahohi, mmojawapo wa wale mashujaa watatu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliyefuata alikuwa Eleazari, mwana wa Dodai, Mwahohi, mmojawapo wa wale mashujaa watatu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na baada yake kulikuwa na Eleazari, mwana wa Dodai, Mwahohi, mmojawapo wa wale mashujaa watatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu aliyefuata miongoni mwa wale mashujaa watatu alikuwa Eleazari mwana wa Dodo, Mwahohi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aliyemfuata ni Elazari, mwana wa Dodo, wa Ahohi, huyu alikuwa mmoja wao wale mafundi wa vita watatu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na baada yake kulikuwa na Eleazari, mwana wa Dodai, Mwahohi, mmojawapo wa wale mashujaa watatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu aliyefuata kati ya wale mashujaa watatu alikuwa Eleazari mwana wa Dodo, wa ukoo wa Ahoa.