1 Chronicles 11:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Daudi wakati huo alikuwa katika ngome, nalo jeshi la Wafilisti lilikuwa mjini Bethlehemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo Daudi alikuwa katika ngome, na kambi ya Wafilisti ilikuwa huko Bethlehemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Daudi wakati ule alikuwako ngomeni, na walinzi wa Wafilisti wakati ule walikuwa huko Bethlehemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Daudi wakati huo alikuwa katika ngome, nalo jeshi la Wafilisti lilikuwa mjini Bethlehemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati ule Daudi alikuwa katika ngome na askari walinzi wa Wafilisti walikuwa katika mji wa Bethlehemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo Daudi alikuwa katika ngome, na kambi ya Wafilisti ilikuwa huko Bethlehemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Daudi wakati ule alikuwako ngomeni, na walinzi wa Wafilisti wakati ule walikuwa huko Bethlehemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Daudi wakati huo alikuwa katika ngome, nalo jeshi la Wafilisti lilikuwa mjini Bethlehemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Dawidi siku zile alikuwa ngomeni, nacho kikosi cha walinzi wa Wafilisti kilikuwamo Beti-Lehemu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Daudi wakati ule alikuwako ngomeni, na walinzi wa Wafilisti wakati ule walikuwa huko Bethlehemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Daudi wakati ule alikuwa katika maficho, nalo jeshi la Wafilistini lilikuwa katika muji wa Betelehemu.