1 Chronicles 11:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abishai, nduguye Yoabu, alikuwa mkuu wa mashujaa thelathini. Yeye alipigana kwa mkuki wake dhidi ya watu 300, akawaua, akajipatia jina miongoni mwa wale mashujaa watatu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Abishai, ndugu yake Yoabu ndiye alikuwa kiongozi wa hao Watatu. Aliinua mkuki wake dhidi ya watu mia tatu, ambao aliwaua; kwa hiyo naye akawa na sifa kama hao Watatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena Abishai, nduguye Yoabu, alikuwa mkuu wa wale watatu; kwa kuwa aliuinua mkuki wake juu ya watu mia tatu, akawaua; akawa na jina kati ya wale watatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abishai, nduguye Yoabu, alikuwa mkuu wa mashujaa thelathini. Yeye alipigana kwa mkuki wake dhidi ya watu 300, akawaua, akajipatia jina miongoni mwa wale mashujaa watatu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abishai, nduguye Yoabu alikuwa mkuu wa wale Watatu. Aliinua mkuki wake dhidi ya watu 300, ambao aliwaua, hivyo akawa maarufu kama wale Watatu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Abishai, ndugu yake Yoabu ndiye alikuwa kiongozi wa hao Watatu. Aliinua mkuki wake dhidi ya watu 300, ambao aliwaua, kwa hiyo naye akawa na sifa kama hao Watatu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena Abishai, nduguye Yoabu, alikuwa mkuu wa wale watatu; kwa kuwa aliuinua mkuki wake juu ya watu mia tatu, akawaua; akawa na jina kati ya wale watatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abishai, nduguye Yoabu, alikuwa mkuu wa mashujaa thelathini. Yeye alipigana kwa mkuki wake dhidi ya watu 300, akawaua, akajipatia jina miongoni mwa wale mashujaa watatu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Abisai, ndugu yake Yoabu, alikuwa mkuu miongoni mwa watu watatu; yeye ndiye aliyeuchezesha mkuki wake juu ya watu 300, ndio, aliowaua naye; akawa mwenye macheo kwa hao watatu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena Abishai, nduguye Yoabu, alikuwa mkuu wa wale watatu; kwa kuwa aliuinua mkuki wake juu ya watu mia tatu, akawaua; akawa na jina kati ya wale watatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abisai, ndugu ya Yoabu, alikuwa mukubwa wa mashujaa makumi tatu. Yeye alipigana kwa mukuki wake na watu mia tatu, akawaua, akajipatia jina kati ya wale mashujaa watatu.