1 Chronicles 11:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, akawa mashuhuri zaidi miongoni mwa mashujaa thelathini, hata akawa kamanda wao, lakini hakuwa shujaa kama wale mashujaa watatu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alitunukiwa heshima maradufu ya wale Watatu, akawa jemadari wao, ingawa hakuhesabiwa miongoni mwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika wale watatu yeye alikuwa mwenye heshima kuliko hao wawili, akawa akida wao; ila hakudiriki kuwamo katika wale watatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, akawa mashuhuri zaidi miongoni mwa mashujaa thelathini, hata akawa kamanda wao, lakini hakuwa shujaa kama wale mashujaa watatu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alitunukiwa heshima maradufu ya wale Watatu, akawa jemadari wao, ingawa hakuhesabiwa miongoni mwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alitunukiwa heshima maradufu ya wale Watatu, akawa jemadari wao, ingawa hakuhesabiwa miongoni mwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika wale watatu yeye alikuwa mwenye heshima kuliko hao wawili, akawa kamanda wao; ila hakudiriki kuwamo katika wale watatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, akawa mashuhuri zaidi miongoni mwa mashujaa thelathini, hata akawa kamanda wao, lakini hakuwa shujaa kama wale mashujaa watatu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwao hao watatu aliheshimiwa kuliko wenzake wawili, akawa mkuu wao, lakini wale watatu wa kwanza hakuwa sawa nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika wale watatu yeye alikuwa mwenye heshima kuliko hao wawili, akawa akida wao; ila hakudiriki kuwamo katika wale watatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, akaheshimiwa zaidi kati ya mashujaa makumi tatu, hata akakuwa jemadari wao, lakini hakukuwa shujaa kama wale mashujaa watatu.