1 Chronicles 11:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Benaya, mwana wa Yehoyada alifanya mambo haya, akajipatia jina miongoni mwa wale mashujaa watatu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haya yalikuwa mambo ya ushujaa ya Benaya mwana wa Yehoyada; naye pia alikuwa maarufu kama wale mashujaa watatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mambo hayo ndiyo aliyoyafanya Benaya, mwana wa Yehoyada, akawa na jina kati ya wale mashujaa watatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Benaya, mwana wa Yehoyada alifanya mambo haya, akajipatia jina miongoni mwa wale mashujaa watatu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mambo kama hayo ya ujasiri ndiyo aliyoyafanya Benaya, mwana wa Yehoyada, yeye pia alikuwa maarufu kama wale mashujaa watatu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haya yalikuwa mambo ya ushujaa ya Benaya mwana wa Yehoyada; naye pia alikuwa maarufu kama wale mashujaa watatu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mambo hayo ndiyo aliyoyafanya Benaya, mwana wa Yehoyada, akawa na jina kati ya wale mashujaa watatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Benaya, mwana wa Yehoyada alifanya mambo haya, akajipatia jina miongoni mwa wale mashujaa watatu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo aliyafanya Benaya, mwana wa Yoyada; kwa hiyo alipata macheo kwa hao mafundi wa vita watatu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mambo hayo ndiyo aliyoyafanya Benaya, mwana wa Yehoyada, akawa na jina kati ya wale mashujaa watatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Benaya mwana wa Yehoyada alifanya mambo hayo, akajipatia sifa kati ya wale mashujaa watatu.