1 Chronicles 11:26 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanajeshi mashujaa wa Daudi walikuwa: Asaheli nduguye Yoabu, Elhanani mwana wa Dodo wa Bethlehemu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale mashujaa walikuwa: Asaheli nduguye Yoabu, Elhanani mwana wa Dodo kutoka Bethlehemu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena hawa ndio mashujaa wa majeshi ya askari; Asaheli nduguye Yoabu, Elhanani mwana wa Dodo wa Bethlehemu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanajeshi mashujaa wa Daudi walikuwa: Asaheli nduguye Yoabu, Elhanani mwana wa Dodo wa Bethlehemu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale watu mashujaa walikuwa: Asaheli nduguye Yoabu, Ehanani mwana wa Dodo kutoka Bethlehemu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale watu mashujaa walikuwa: Asaheli nduguye Yoabu, Elhanani mwana wa Dodo kutoka Bethlehemu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena hawa ndio mashujaa wa majeshi ya askari; Asaheli nduguye Yoabu, Elhanani mwana wa Dodo wa Bethlehemu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanajeshi mashujaa wa Daudi walikuwa: Asaheli nduguye Yoabu, Elhanani mwana wa Dodo wa Bethlehemu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mafundi wa vita wenye nguvu walikuwa hawa: Asaheli, ndugu yake Yoabu; Elihanani, mwana wa Dodo na Beti-Lehemu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena hawa ndio mashujaa wa majeshi ya askari; Asaheli nduguye Yoabu, Elhanani mwana wa Dodo wa Bethlehemu;