1 Chronicles 11:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadaye Daudi na Waisraeli wote walikwenda Yerusalemu uliojulikana kama Yebusi, na ambao wenyeji wake walikuwa Wayebusi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi na Waisraeli wote wakaenda Yerusalemu (ndio Yebusi). Nao Wayebusi walioishi humo
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Daudi na Israeli wote wakaenda Yerusalemu, (ndio Yebusi;) nao Wayebusi, wenyeji wa nchi, walikuwamo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadaye Daudi na Waisraeli wote walikwenda Yerusalemu uliojulikana kama Yebusi, na ambao wenyeji wake walikuwa Wayebusi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi na Waisraeli wote wakaenda Yerusalemu (ndio Yebusi). Nao Wayebusi, ambao ndio waliokuwa wanaishi humo
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi na Waisraeli wote wakaenda Yerusalemu (ndio Yebusi). Nao Wayebusi walioishi humo
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Daudi na Israeli wote wakaenda Yerusalemu, (ndio Yebusi;) nao Wayebusi, wenyeji wa nchi, walikuwamo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadaye Daudi na Waisraeli wote walikwenda Yerusalemu uliojulikana kama Yebusi, na ambao wenyeji wake walikuwa Wayebusi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Dawidi na Waisiraeli wote wakaenda Yerusalemu, ndio Yebusi, nao Wayebusi hapo walikuwa bado wenyeji wa nchi hiyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Daudi na Israeli wote wakaenda Yerusalemu, (ndio Yebusi;) nao Wayebusi, wenyeji wa nchi, walikuwamo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya hayo Daudi na Waisraeli wote walikwenda Yerusalema, muji uliojulikana kwa jina la Yebusi, na ambao wenyeji wake walikuwa Wayebusi.