1 Chronicles 11:42 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Adina, mwana wa Shiza Mreubeni, mkuu wa Wareubeni, akiwa pamoja na watu thelathini;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Adina mwana wa Shiza Mreubeni, aliyekuwa mkuu wa Wareubeni, akiwa pamoja na watu thelathini,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Adina mwana wa Shiza Mreubeni, mkuu wa Wareubeni, na thelathini pamoja naye;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Adina, mwana wa Shiza Mreubeni, mkuu wa Wareubeni, akiwa pamoja na watu thelathini;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Adina mwana wa Shiza, Mreubeni, ambaye alikuwa mkuu wa Wareubeni, akiwa pamoja na watu thelathini,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Adina mwana wa Shiza Mreubeni, ambaye alikuwa mkuu wa Wareubeni, akiwa pamoja na watu thelathini,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Adina mwana wa Shiza Mreubeni, mkuu wa Wareubeni, na thelathini pamoja naye;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Adina, mwana wa Shiza Mreubeni, mkuu wa Wareubeni, akiwa pamoja na watu thelathini;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Adina, mwana wa Siza, wa Rubeni, aliyekuwa mkuu wao Warubeni mwenye watu 30,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Adina mwana wa Shiza Mreubeni, mkuu wa Wareubeni, na thelathini pamoja naye;