1 Chronicles 11:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Daudi akasema, “Mtu atakayetangulia kuwapiga Wayebusi, atakuwa mkuu na kamanda jeshini.” Basi Yoabu, mwana wa Seruya, akawa wa kwanza kuwashambulia, hivyo akawa mkuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi alikuwa amesema, “Yeyote atakayeongoza mashambulizi dhidi ya Wayebusi atakuwa jemadari mkuu.” Yoabu mwana wa Seruya akawa wa kwanza kukwea, naye akawa mkuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Daudi akasema, Mtu ye yote atakayekuwa wa kwanza wa kuwapiga Wayebusi, yeye atakuwa mkuu na jemadari. Naye wa kwanza aliyepanda ni Yoabu mwana wa Seruya, naye akawa mkuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Daudi akasema, “Mtu atakayetangulia kuwapiga Wayebusi, atakuwa mkuu na kamanda jeshini.” Basi Yoabu, mwana wa Seruya, akawa wa kwanza kuwashambulia, hivyo akawa mkuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi alikuwa amesema, “Ye yote aongozaye mashambulizi dhidi ya Wayebusi, atakuwa jemadari mkuu.” Yoabu mwana wa Seruya, akawa wa kwanza kukwea, naye akawa mkuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi alikuwa amesema, “Yeyote aongozaye mashambulizi dhidi ya Wayebusi, atakuwa jemadari mkuu.” Yoabu mwana wa Seruya akawa wa kwanza kukwea, naye akawa mkuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Daudi akasema, Mtu yeyote atakayekuwa wa kwanza wa kuwapiga Wayebusi, yeye atakuwa mkuu na jemadari. Naye wa kwanza aliyepanda ni Yoabu mwana wa Seruya, naye akawa mkuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Daudi akasema, “Mtu atakayetangulia kuwapiga Wayebusi, atakuwa mkuu na kamanda jeshini.” Basi Yoabu, mwana wa Seruya, akawa wa kwanza kuwashambulia, hivyo akawa mkuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akasema: Ye yote atakayekuwa wa kwanza wa kuwapiga Wayebusi atakuwa mkuu wa kwanza wa vikosi. Ndipo, Yoabu, mwana wa Seruya, alipopanda wa kwanza, akawa mkuu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Daudi akasema, Mtu ye yote atakayekuwa wa kwanza wa kuwapiga Wayebusi, yeye atakuwa mkuu na jemadari. Naye wa kwanza aliyepanda ni Yoabu mwana wa Seruya, naye akawa mkuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Daudi akasema: “Mutu atakayetangulia kuwapiga Wayebusi, atakuwa mukubwa na jemadari katika jeshi.” Basi Yoabu mwana wa Zeruya, akakuwa wa kwanza kuwashambulia, hivyo akakuwa mukubwa.