1 Chronicles 11:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi alikaa katika ngome hiyo, na kwa hiyo, mji huo ukaitwa “Mji wa Daudi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akafanya makao yake kwenye ngome, hivyo ukaitwa Mji wa Daudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Daudi akakaa ngomeni; kwa hiyo huuita mji wa Daudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi alikaa katika ngome hiyo, na kwa hiyo, mji huo ukaitwa “Mji wa Daudi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akafanya maskani yake kwenye ngome, hivyo ukaitwa Mji wa Daudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akafanya makao yake kwenye ngome, hivyo ukaitwa Mji wa Daudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Daudi akakaa ngomeni; kwa hiyo ukaitwa mji wa Daudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi alikaa katika ngome hiyo, na kwa hiyo, mji huo ukaitwa “Mji wa Daudi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akakaa mle bomani, kwa hiyo likaitwa mji wa Dawidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Daudi akakaa ngomeni; kwa hiyo huuita mji wa Daudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi alikaa katika makimbilio yale, na kwa hiyo, muji ule ukaitwa “Muji wa Daudi.”