1 Chronicles 11:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliujenga mji huo, akianzia Milo, na kuuzunguka wote, na Yoabu akautengeneza mji huo upya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akajenga mji pande zote, kuanzia Milo hadi kwenye ukuta kuzunguka; wakati huo huo Yoabu akajenga sehemu zingine zilizobaki za Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaujenga huo mji pande zote, toka Milo na kuuzunguka; naye Yoabu akautengeneza mji uliosalia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliujenga mji huo, akianzia Milo, na kuuzunguka wote, na Yoabu akautengeneza mji huo upya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akajenga mji pande zote, kuanzia kwenye mito hadi kwenye ukuta kuzunguka, wakati huo huo Yoabu akajenga sehemu zingine zilizobaki za Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akajenga mji pande zote, kuanzia kwenye mito hadi kwenye ukuta kuzunguka, wakati huo huo Yoabu akajenga sehemu zingine zilizobaki za Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaujenga huo mji pande zote, toka Milo na kuuzunguka; naye Yoabu akautengeneza mji uliosalia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliujenga mji huo, akianzia Milo, na kuuzunguka wote, na Yoabu akautengeneza mji huo upya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaujenga huo mji pande zote za kuuzunguka toka Milo; naye Yoabu akaujenga huo mji kuwa mpya pengine po pote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaujenga huo mji pande zote, toka Milo na kuuzunguka; naye Yoabu akautengeneza mji uliosalia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akajenga muji ule, akianzia uwanja wa Milo, na kuuzunguka wote, na Yoabu akatengeneza muji ule upya.