1 Chronicles 12:14 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wagadi hao, walikuwa maofisa wa jeshi. Kulingana na vyeo vyao, mdogo alisimamia kikosi cha wanajeshi 100, na mkubwa alisimamia kikosi cha wanajeshi 1,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa Wagadi walikuwa majemadari. Aliyekuwa mdogo alikuwa kama watu mia moja, naye aliyekuwa mkuu alikuwa kama watu elfu moja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao wa wana wa Gadi walikuwa maakida wa jeshi, yeye aliyekuwa mdogo amelingana na mia, na yeye aliyekuwa mkuu, na elfu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wagadi hao, walikuwa maofisa wa jeshi. Kulingana na vyeo vyao, mdogo alisimamia kikosi cha wanajeshi 100, na mkubwa alisimamia kikosi cha wanajeshi 1,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa Wagadi walikuwa majemadari. Aliyekuwa wa mwisho kuliko wote aliweza kuongoza askari 100 na aliyekuwa na uweza zaidi ya wote aliongoza 1,000.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa Wagadi walikuwa majemadari. Aliyekuwa wa mwisho kuliko wote aliweza kuongoza askari 100, na aliyekuwa na uweza zaidi ya wote aliongoza 1,000.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao Wagadi walikuwa makamanda wa jeshi, yeye aliyekuwa mdogo amelingana na mia moja, na yeye aliyekuwa mkuu, na elfu moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wagadi hao, walikuwa maofisa wa jeshi. Kulingana na vyeo vyao, mdogo alisimamia kikosi cha wanajeshi 100, na mkubwa alisimamia kikosi cha wanajeshi 1,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa Wagadi walikuwa wakuu wa vikosi, aliyekuwa mdogo kwao aliweza kushinda mia, naye mkubwa elfu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao wa wana wa Gadi walikuwa maakida wa jeshi, yeye aliyekuwa mdogo amelingana na mia, na yeye aliyekuwa mkuu, na elfu.