1 Chronicles 12:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadhi ya watu kutoka makabila ya Benyamini na Yuda walifika ngomeni alipokuwa Daudi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wabenyamini wengine na baadhi ya watu kutoka Yuda pia walikuja kwa Daudi katika ngome yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena wakafika ngomeni kwa Daudi baadhi ya wana wa Benyamini na Yuda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadhi ya watu kutoka makabila ya Benyamini na Yuda walifika ngomeni alipokuwa Daudi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wabenyamini wengine na baadhi ya watu kutoka Yuda pia walikuja kwa Daudi katika ngome yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wabenyamini wengine na baadhi ya watu kutoka Yuda pia walikuja kwa Daudi katika ngome yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena wakafika ngomeni kwa Daudi baadhi ya wana wa Benyamini na Yuda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadhi ya watu kutoka makabila ya Benyamini na Yuda walifika ngomeni alipokuwa Daudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wengine wa Benyamini na wa Yuda walipomjia Dawidi pale gengeni pake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena wakafika ngomeni kwa Daudi baadhi ya wana wa Benyamini na Yuda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawa ndio watu waliovuka muto Yordani katika mwezi wa kwanza, muto ulipokuwa umefurika pande zote na kuwatawanya watu kwa upande wa mashariki na magaribi ya muto.