1 Chronicles 12:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walimsaidia Daudi kupigana na magenge ya washambuliaji, kwani wote walikuwa askari mashujaa na makamanda jeshini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walimsaidia Daudi dhidi ya makundi ya uvamizi, kwa kuwa wote walikuwa mashujaa hodari na walikuwa majemadari katika jeshi lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamsaidia Daudi juu ya kile kikosi kilichomshambulia; kwani walikuwa waume mashujaa wote, nao wakawa maakida jeshini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walimsaidia Daudi kupigana na magenge ya washambuliaji, kwani wote walikuwa askari mashujaa na makamanda jeshini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walimsaidia Daudi dhidi ya makundi ya uvamizi, kwa kuwa wote walikuwa mashujaa hodari na walikuwa majemadari katika jeshi lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walimsaidia Daudi dhidi ya makundi ya uvamizi, kwa kuwa wote walikuwa mashujaa hodari na walikuwa majemadari katika jeshi lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamsaidia Daudi juu ya kile kikosi kilichomshambulia; kwani walikuwa wanaume mashujaa wote, nao wakawa makamanda jeshini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walimsaidia Daudi kupigana na magenge ya washambuliaji, kwani wote walikuwa askari mashujaa na makamanda jeshini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa wakamsaidia Dawidi kushindana na askari za adui, kwani wao wote walikuwa mafundi wa vita wenye nguvu, wakawa wakuu wa vikosi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamsaidia Daudi juu ya kile kikosi kilichomshambulia; kwani walikuwa waume mashujaa wote, nao wakawa maakida jeshini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Daudi alipokuwa Ziklagi, watu hawa wa kabila la Manase wakamwendea: Adina, Yozabadi, Yediaeli, Mikaeli, Yozabadi, Elihu na Siletayi. Kila mumoja wao alikuwa kiongozi wa kundi la watu elfu moja katika kabila la Manase.