1 Chronicles 12:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hii ndio idadi ya vikosi vya askari wenye silaha waliojiunga na Daudi huko Hebroni ili kumtwalia ufalme kutoka kwa Shauli, kulingana na neno la Mwenyezi-Mungu:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa ndio watu waliojiandaa kwa ajili ya vita waliokuja kwa Daudi huko Hebroni ili kumtwalia ufalme kutoka kwa Sauli, kama Mwenyezi Mungu alivyokuwa amesema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hizi ni hesabu za vichwa vya watu wenye silaha za vita, waliokuja Hebroni kwa Daudi, ili kumgeuzia ufalme wa Sauli, sawasawa na neno la Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hii ndio idadi ya vikosi vya askari wenye silaha waliojiunga na Daudi huko Hebroni ili kumtwalia ufalme kutoka kwa Shauli, kulingana na neno la Mwenyezi-Mungu:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa ndio watu waliojiandaa kwa ajili ya vita waliokuja kwa Daudi huko Hebroni ili kumtwalia ufalme kutoka kwa Sauli, kama BWANA alivyokuwa amesema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa ndio watu waliojiandaa kwa ajili ya vita waliokuja kwa Daudi huko Hebroni ili kumtwalia ufalme kutoka kwa Sauli, kama bwana alivyokuwa amesema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hizi ni hesabu za vichwa vya watu wenye silaha za vita, waliokuja Hebroni kwa Daudi, ili kumpa ufalme wa Sauli, sawasawa na neno la BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hii ndio idadi ya vikosi vya askari wenye silaha waliojiunga na Daudi huko Hebroni ili kumtwalia ufalme kutoka kwa Shauli, kulingana na neno la Mwenyezi-Mungu:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hii ndiyo hesabu ya wakuu wao wapiga vita waliomjia Dawidi huko Heburoni wakishika mata yao, wampe ufalme wakiuondoa kwake Sauli, kama Bwana alivyosema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hizi ni hesabu za vichwa vya watu wenye silaha za vita, waliokuja Hebroni kwa Daudi, ili kumgeuzia ufalme wa Sauli, sawasawa na neno la BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku kwa siku, watu walijiunga na Daudi kwa kumusaidia, na nyuma akakuwa na kundi kubwa sana la waaskari, kama jeshi la Mungu.