1 Chronicles 12:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa kabila la Yuda waliokuwa na mikuki na ngao, walikuwa 6,800. Wote walikuwa na silaha zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
watu wa Yuda, wanaochukua ngao na mikuki walikuwa elfu sita na mia nane wakiwa tayari kwa vita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Yuda, waliochukua ngao na mkuki, walikuwa elfu sita na mia nane, wenye silaha za vita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa kabila la Yuda waliokuwa na mikuki na ngao, walikuwa 6,800. Wote walikuwa na silaha zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
watu wa Yuda, wanaochukua ngao na mikuki walikuwa 6,800 wote wakiwa tayari kwa vita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
watu wa Yuda, wanaochukua ngao na mikuki walikuwa 6,800 wote wakiwa tayari kwa vita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Yuda, waliochukua ngao na mkuki, walikuwa elfu sita na mia nane, wenye silaha za vita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa kabila la Yuda waliokuwa na mikuki na ngao, walikuwa 6,800. Wote walikuwa na silaha zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wana wa Yuda waliochukua ngao na mikuki, watu 6800 wenye mata ya kupigia vita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Yuda, waliochukua ngao na mkuki, walikuwa elfu sita na mia nane, wenye silaha za vita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hii ndiyo hesabu ya makundi ya waaskari wenye silaha waliojiunga na Daudi kule Hebroni kwa kumutwalia ufalme kutoka kwa Saulo, kulingana na neno la Yawe: