1 Chronicles 12:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka kabila la Simeoni, watu 7,100 mashujaa na wenye ujuzi mwingi wa vita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wa Simeoni, mashujaa waliokuwa wamejiandaa kwa vita, walikuwa elfu saba na mia moja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wa wana wa Simeoni, waume mashujaa wa vita, elfu saba na mia moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka kabila la Simeoni, watu 7,100 mashujaa na wenye ujuzi mwingi wa vita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wa Simeoni, mashujaa waliokuwa tayari kwa vita walikuwa 7,100.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wa Simeoni, mashujaa waliokuwa tayari kwa vita walikuwa 7,100.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wa wana wa Simeoni, wanaume mashujaa wa vita, elfu saba na mia moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka kabila la Simeoni, watu 7,100 mashujaa na wenye ujuzi mwingi wa vita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Simeoni, mafundi wa vita wenye nguvu wajuao kupiga vita, watu 7100.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wa wana wa Simeoni, waume mashujaa wa vita, elfu saba na mia moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa kabila la Yuda waliokuwa na mikuki na ngao, walikuwa elfu sita na mia nane. Wote walikuwa na silaha zao.