1 Chronicles 12:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka kabila la Lawi: Watu 4,600.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wa Lawi walikuwa elfu nne na mia sita,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wa wana wa Lawi, elfu nne na mia sita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka kabila la Lawi: watu 4,600.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wa Lawi walikuwa 4,600,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wa Lawi walikuwa 4,600,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wa wana wa Lawi, elfu nne na mia sita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka kabila la Lawi: Watu 4,600.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Lawi watu 4600,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wa wana wa Lawi, elfu nne na mia sita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka kabila la Simeoni, watu elfu saba na mia moja mashujaa na wenye ujuzi mwingi wa vita.