1 Chronicles 12:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yehoyada, wa uzao wa Aroni na wenzake: Watu 3,700.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
pamoja na Yehoyada, kiongozi wa jamaa ya Haruni, aliyekuwa na watu elfu tatu na mia saba,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Yehoyada alikuwa kichwa cha mbari ya Haruni, na pamoja naye walikuwa elfu tatu na mia saba;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yehoyada, wa uzao wa Aroni na wenzake: watu 3,700.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
pamoja na Yehoyada, kiongozi wa jamaa ya Aroni, aliyekuwa pamoja na watu 3,700,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
pamoja na Yehoyada, kiongozi wa jamaa ya Haruni, aliyekuwa pamoja na watu 3,700,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Yehoyada alikuwa kichwa cha ukoo wa Haruni, na pamoja naye walikuwa watu elfu tatu na mia saba;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yehoyada, wa uzao wa Aroni na wenzake: Watu 3,700.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
naye Yoyada, mkuu wao wa Haroni, tena pamoja naye watu 3700,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Yehoyada alikuwa kichwa cha mbari ya Haruni, na pamoja naye walikuwa elfu tatu na mia saba;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka kabila la Lawi: watu elfu ine na mia sita.