1 Chronicles 12:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jamaa ya Sadoki, kijana hodari vitani, yeye pamoja na makamanda ishirini na wawili kutoka ukoo wa baba yake mwenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na Sadoki, kijana shujaa hodari, aliyekuwa na maafisa ishirini na wawili kutoka jamaa yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tena Sadoki, kijana shujaa, na wa nyumba ya babaye, maakida ishirini na wawili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jamaa ya Sadoki, kijana hodari vitani, yeye pamoja na makamanda ishirini na wawili kutoka ukoo wa baba yake mwenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na Sadoki, kijana shujaa na hodari, aliyekuwa pamoja na maafisa ishirini na wawili kutoka katika jamaa yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na Sadoki, kijana shujaa na hodari, aliyekuwa pamoja na maafisa ishirini na wawili kutoka jamaa yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tena Sadoki, kijana shujaa, na wa nyumba ya babaye, makamanda ishirini na wawili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jamaa ya Sadoki, kijana hodari vitani, yeye pamoja na makamanda ishirini na wawili kutoka ukoo wa baba yake mwenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
naye Sadoki aliyekuwa kijana mwenye nguvu ya kupiga vita, namo mlangoni mwa baba yake wakatoka wakuu 22.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tena Sadoki, kijana shujaa, na wa nyumba ya babaye, maakida ishirini na wawili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yehoyada, wa uzao wa Haruni na wenzake: watu elfu tatu na mia saba.