1 Chronicles 12:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka kabila la Benyamini, (kabila la Shauli): Watu 3,000. Wengi wao walibaki waaminifu kwa jamaa ya Shauli;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wa Benyamini, ndugu zake Sauli, walikuwa elfu tatu; wengi wao walikuwa wameendelea kuwa waaminifu kwa Sauli hadi wakati huo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wa wana wa Benyamini nduguze Sauli, elfu tatu; kwani hata sasa walio wengi wao walikuwa wameuhifadhi uaminifu wao kwa nyumba ya Sauli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka kabila la Benyamini, (kabila la Shauli): watu 3,000. Wengi wao walibaki waaminifu kwa jamaa ya Shauli;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wa Benyamini, ndugu zake Sauli, walikuwa 3,000; wengi wao walikuwa wameendelea kuwa waaminifu kwa Sauli mpaka wakati huo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wa Benyamini, ndugu zake Sauli, walikuwa 3,000; wengi wao walikuwa wameendelea kuwa waaminifu kwa Sauli mpaka wakati huo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wa wana wa Benyamini nduguze Sauli, elfu tatu; kwani hata sasa walio wengi wao walikuwa wameuhifadhi uaminifu wao kwa nyumba ya Sauli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka kabila la Benyamini, (kabila la Shauli): Watu 3,000. Wengi wao walibaki waaminifu kwa jamaa ya Shauli;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Benyamini waliokuwa ndugu zake Sauli, watu 3000; kwani mpaka hapo wengi wao walikuwa upande wa mlango wa Sauli na kuulindia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wa wana wa Benyamini nduguze Sauli, elfu tatu; kwani hata sasa walio wengi wao walikuwa wameuhifadhi uaminifu wao kwa nyumba ya Sauli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jamaa za Zadoki, kijana hodari katika vita, yeye pamoja na majemadari makumi mbili na wawili kutoka ukoo wa baba yake mwenyewe.