1 Chronicles 12:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kiongozi wao alikuwa Ahiezeri, aliyesaidiwa na Yoashi, wote wana wa Shemaa kutoka Gibea; wengineo ni: Yezieli na Peleti, wana wa Azmawethi, Beraka, Yehu kutoka Anathothi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkuu wao alikuwa Ahiezeri, na wa pili Yoashi, wote wana wa Shemaa Mgibeathi; pia Yezieli na Peleti wana wa Azmawethi; Beraka, Yehu Mwanathothi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mkubwa wao alikuwa Ahiezeri, kisha Yoashi, wana wa Shemaa Mgibeathi; na Yezieli, na Peleti, wana wa Azmawethi; na Beraka, na Yehu Mwanathothi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kiongozi wao alikuwa Ahiezeri, aliyesaidiwa na Yoashi, wote wana wa Shemaa kutoka Gibea; wengineo ni: Yezieli na Peleti, wana wa Azmawethi, Beraka, Yehu kutoka Anathothi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mkuu wao alikuwa Ahiezeri, na wa pili Yoashi, wote wana wa Shemaa Mgibeathi; pia Yezieli na Peleti wana wa Azmawethi; Beraka, Yehu wa Anathothi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mkuu wao alikuwa Ahiezeri, na wa pili Yoashi, wote wana wa Shemaa Mgibeathi; pia Yezieli na Peleti wana wa Azmawethi; Beraka, Yehu Mwanathothi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mkubwa wao alikuwa Ahiezeri, kisha Yoashi, wana wa Shemaa Mgibeathi; na Yezieli, na Peleti, wana wa Azmawethi; na Beraka, na Yehu Mwanathothi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kiongozi wao alikuwa Ahiezeri, aliyesaidiwa na Yoashi, wote wana wa Shemaa kutoka Gibea; wengineo ni: Yezieli na Peleti, wana wa Azmawethi, Beraka, Yehu kutoka Anathothi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkuu Ahiezeri na Yoasi, wana wa Hasemaa wa Gibea; na Yezieli na Peleti, wana wa Azimaweti, na Beraka na Yehu wa Anatoti,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mkubwa wao alikuwa Ahiezeri, kisha Yoashi, wana wa Shemaa Mgibeathi; na Yezieli, na Peleti, wana wa Azmawethi; na Beraka, na Yehu Mwanathothi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kiongozi wao alikuwa Ahiezeri aliyesaidiwa na Yoasi, wote wawili ni wana wa Sema kutoka Gibea, Yezieli na Peleti, wana wa Azimaweti, Beraka na Yehu kutoka Anatoti, Isimaya kutoka Gibeoni aliyekuwa mutu shujaa kati ya wale makumi tatu na kiongozi wao, Yeremia, Yahazieli, Yohanani, Yozabadi kutoka Gedera, Elizai, Yeremoti, Bealia, Semaria, na Sefatia wa muji wa Harufi, Elekana, Isia, Azareli, Yoezeri, Yasobeamu kutoka ukoo wa Kora, Yoela na Zebadia, wana wa Yerohamu, kutoka Gedori.