1 Chronicles 12:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka kabila la Efraimu: Watu 20,800, watu mashujaa sana tena mashuhuri katika koo zao;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wa Efraimu, mashujaa hodari elfu ishirini na mia nane, watu waliokuwa maarufu katika koo zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wa wana wa Efraimu, ishirini elfu na mia nane, waume mashujaa, watu wenye sifa katika mbari za baba zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka kabila la Efraimu: watu 20,800, watu mashujaa sana tena mashuhuri katika koo zao;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wa Efraimu, mashujaa hodari 20,800, watu waliokuwa maarufu katika koo zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wa Efraimu, mashujaa hodari 20,800, watu waliokuwa maarufu katika koo zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wa wana wa Efraimu, elfu ishirini na mia nane, wanaume mashujaa, watu wenye sifa katika koo za baba zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka kabila la Efraimu: Watu 20,800, watu mashujaa sana tena mashuhuri katika koo zao;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Efuraimu, mafundi wa vita wenye nguvu, watu 20800, ni watu waliokuwa wenye macheo katika milango yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wa wana wa Efraimu, ishirini elfu na mia nane, waume mashujaa, watu wenye sifa katika mbari za baba zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka kabila la Benjamina, (kabila la Saulo): watu elfu tatu. Wengi wao walibaki waaminifu kwa jamaa ya Saulo.