1 Chronicles 12:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka nusu ya kabila la Manase: Watu 18,000, waliotajwa majina ili waje kumtawaza Daudi awe mfalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wa nusu ya kabila la Manase, waliotajwa kwa majina ili waje kumweka Daudi kuwa mfalme, watu elfu kumi na nane.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wa nusu kabila ya Manase, kumi na nane elfu, waliotajwa majina yao, ili waje kumtawaza Daudi awe mfalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka nusu ya kabila la Manase: watu 18,000, waliotajwa majina ili waje kumtawaza Daudi awe mfalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wa nusu ya kabila la Manase, waliotajwa kwa majina ili waje kumweka Daudi kuwa mfalme, watu 18,000.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wa nusu ya kabila la Manase, waliotajwa kwa majina ili waje kumweka Daudi kuwa mfalme, watu 18,000.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wa nusu kabila la Manase, elfu kumi na nane, waliotajwa majina yao, ili waje kumtawaza Daudi awe mfalme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka nusu ya kabila la Manase: Watu 18,000, waliotajwa majina ili waje kumtawaza Daudi awe mfalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika nusu ya shina la Manase wakatoka watu 18000 waliokuwa wameandikwa majina yao, waje, wamfanye Dawidi kuwa mfalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wa nusu kabila ya Manase, kumi na nane elfu, waliotajwa majina yao, ili waje kumtawaza Daudi awe mfalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka kabila la Efuraimu: watu elfu makumi mbili na mia nane, watu mashujaa sana tena waliheshimiwa katika ukoo zao.